Leo ndio siku ambayo Yanga itaweka hadharani jezi maalum zitakazotumika kwenye ligi ya mabingwa kuanzia hatua ya makundi
Tukio la utambulisho wa jezi hizo litafanyika saa 6 mchana ambapo baada ya uzinduzi jezi hizo zitapatikana Duka la Yanga, Makao Makuu na maduka yote ya GSM
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe alisemaa jezi zitapatikana kwa Tsh 50,000/-
ADVERTISE HERE