Vijana wako tayari kupambana - Nsajigwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Apr 2018
Vijana wako tayari kupambana - Nsajigwa
Kocha Msaidizi wa Yanga Shedrack Nsajigwa amesema kikosi cha Yanga kiko tayari kwa mchezo dhidi ya wapinzani wao Simba utakaopigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Taifa.

Yanga ilirejea jana kutoka mkoani Morogoro ilikoweka kambi kwa ajili ya mchezo huo na mchezo wa kwanza wa kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger.

Nsajigwa amesema mchezo dhidi ya Simba ni wa kawaida utofauti wake unatokana na kwa kuwa timu zinazokutana zina upinzani wa jadi.

"Tumejiandaa kikamilifu kwa ajili ya mchezo huo. Tumejiandaa kupata matokeo, tunahitaji kushinda ili tuwe kwenye nafasi nzuri ya kutetea ubingwa wetu," amesema Nsajigwa

Yanga yenye alama 48 ikiwa nafasi ya pili, inahitaji kushinda ili ipunguze tofauti ya pointi baina yake na Simba na kuendeleza matumaini ya kutetea ubingwa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’