Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mdhamini/Mfadhili wa Yanga, Gharib Said Mohammed (GSM)
Unapozungumzia furaha ya Wananchi katika misimu hii mitatu iliyopita basi hutakosa kutaja jina la GSM
Uwekezaji wake mkubwa alioweka Yanga umekuwa chachu ya mafanikio na kurejesha furaha ya Wananchi ambao ilipotea kati ya mwaka 2017 na 2020
Kauli ya GSM huwa ni moja tu, YANGA BINGWA na ameisimamia kauli hiyo kwa vitendo
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake..
HAPPY BIRTHDAY GSM....
ADVERTISE HERE