Dube apewa mechi dhidi ya Al Hilal

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Nov 2024
Dube apewa mechi dhidi ya Al Hilal

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe ametangaza mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal utakaopigwa Jumanne, Novemba 26 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, ni DUBE DAY

Kamwe amewataka mshabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo ambao ameuita wa kufungua kila kilichofungwa

Dube amekuwa na wakati mgumu katika mechi zilizopita, amepewa jukumu la kuibeba Yanga katika mchezo huu ambao pengine unaweza kuwa mwanzo wa kurejesha mabao yake

"Novemba 26 hatucheki na yeyote, tunakwenda kuilinda heshima ya Yanga yetu. Pia Tuna kisasi na Al Hilal, safari hii moto utamuwakia"

"Mechi hii ni DUBE DAY, watake wasitake, tunakwenda kufungua kila kilichofungwa," alisema Kamwe katika Mkutano na wanahabari

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Manqoba aweka mkazo, hawatawadharau CFFA
Manqoba aweka mkazo, hawatawadharau CFFA
2h ago
READ MORE β†’
CFFA vs Yanga; Tiketi zinaelekea ukingoni, umekata yako?
CFFA vs Yanga; Tiketi zinaelekea ukingoni, umekata yako?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 16 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 16 2026
7h ago
READ MORE β†’
CFFA wanaandaliwa dozi ya kuwatosha
CFFA wanaandaliwa dozi ya kuwatosha
1d ago
READ MORE β†’
Manara ajiweka kitanzini Yanga
Manara ajiweka kitanzini Yanga
1d ago
READ MORE β†’
Yanga kurejesha heshima mbele ya CFFA?
Yanga kurejesha heshima mbele ya CFFA?
1d ago
READ MORE β†’
Mwenda anarejea, kumuongezea Yao nguvu upande wa kulia
Mwenda anarejea, kumuongezea Yao nguvu upande wa kulia
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 15 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 15 2026
1d ago
READ MORE β†’
CFFA tayari wameshawasili Dar
CFFA tayari wameshawasili Dar
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki kurejea mechi dhidi ya CFFA
Aziz Ki kurejea mechi dhidi ya CFFA
1d ago
READ MORE β†’