Jezi kuzinduliwa Novemba 20, viingilio dhidi ya Al Hilal vyatangazwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Nov 2024
Jezi kuzinduliwa Novemba 20, viingilio dhidi ya Al Hilal vyatangazwa

Yanga inatarajiwa kuzindua jezi za Ligi ya Mabingwa, Novemba 20, Makao Makuu ya klabu Jangwani

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema jezi zitaanza kupatikana Makao Makuu ya klabu na maduka ya GSM kwa Tsh 50,000/-

Aidha Kamwe ametangaza viingilio vya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal ambao utapigwa Novemba 26 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 10 jioni

Viingilio VIP A ni Tsh 30,000/-, VIP B Tsh 20,000/-, VIP C Tsh 10,000/-, Machungwa na Mzunguuko ni Tsh 3,000/-. Mauzo ya tiketi yameanza leo kupitia mitandao ya simu

Kamwe amewataka mashabiki na wanachama wa Yanga kujitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa ili kuipa hamasa timu yao

Kamwe amesema haijawahi kutokea Yanga ikapoteza mechi tatu mfululizo katika mashindano tofauti. Hii ni mechi ya kila Mwananchi kujitokeza kuongeza nguvu katika kuhakikisha ushindi unapatikana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Manqoba aweka mkazo, hawatawadharau CFFA
Manqoba aweka mkazo, hawatawadharau CFFA
1h ago
READ MORE β†’
CFFA vs Yanga; Tiketi zinaelekea ukingoni, umekata yako?
CFFA vs Yanga; Tiketi zinaelekea ukingoni, umekata yako?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 16 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 16 2026
5h ago
READ MORE β†’
CFFA wanaandaliwa dozi ya kuwatosha
CFFA wanaandaliwa dozi ya kuwatosha
22h ago
READ MORE β†’
Manara ajiweka kitanzini Yanga
Manara ajiweka kitanzini Yanga
23h ago
READ MORE β†’
Yanga kurejesha heshima mbele ya CFFA?
Yanga kurejesha heshima mbele ya CFFA?
1d ago
READ MORE β†’
Mwenda anarejea, kumuongezea Yao nguvu upande wa kulia
Mwenda anarejea, kumuongezea Yao nguvu upande wa kulia
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 15 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 15 2026
1d ago
READ MORE β†’
CFFA tayari wameshawasili Dar
CFFA tayari wameshawasili Dar
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki kurejea mechi dhidi ya CFFA
Aziz Ki kurejea mechi dhidi ya CFFA
1d ago
READ MORE β†’