Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Rais Injinia Hersi Ally Said leo tarehe 07-11-2024 imekaa katika kikao cha kwanza cha kikatiba kwa msimu wa 2024/25
Kamati imepokea na kujadili ripoti ya utendaji ya Sekretarieti na kutoa maelekezo mbalimbali yenye lengo la kuboresha maslahi mapana ya Yanga








ADVERTISE HERE