Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ambaye pia ni Mwenyekiti wa umoja wa klabu barani Afrika (ACA), ameshiriki Mkutano Mkuu wa mwaka (CAF) uoliofanyika huko Ethiopia akiwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji. Katika Mkutano huo pia alialikwa Rais wa FIFA, Gianni Infantino


Mkutano huo ulihitimiswa na mchezo wa kirafiki kati ya timu ya CAF dhidi ya Malegendari wa soka barani Afrika
Hersi alishiriki mchezo huo akifunga bao moja na kutoa pasi mbili za mabao


ADVERTISE HERE