Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kukamilisha maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania
Mchezo huo utapigwa kesho Jumanne, katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es salaam








ADVERTISE HERE