Ni ushindi wa mechi 15 mfululizo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Oct 2024
Ni ushindi wa mechi 15 mfululizo

Pengine huu unaweza kuwa msimu bora zaidi kwa Yanga mpaka sasa na kama kasi hii itaendelea, Wananchi wajiandae kutafuta madaktari ya kuwatibu 'visukari' kwani raha zinaweza kuwaua

Ukimuuliza shabiki yeyote wa Yanga ni lini mara ya mwisho Yanga ilipoteza mchezo?

Pengine atahitaji kukaa chini na kuanza kukumbuka mechi nyingi zilizopita nyuma na atabaini ilikuwa Julai 20 Yanga ilipoteza mchezo dhidi ya Augsburg timu inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani (Bundesliga) katika michuano maalum ya pre-season, Mpumalanga International Cup

Tangu wakati huo Yanga, imecheza mechi 15 na kushinda zote. Imefunga mabao 39 huku ikiruhusu nyavu zake kutikiswa mara nne tu

Simba, Vital'o na CBE ndio timu zilizorudiwa vichapo mara mbili na kuwa vinara wa kufungwa na Yanga katika kipindi hiki cha miezi mitatu

Kuna rekodi ya kibabe kocha Miguel Gamondi na vijana wake wanaitafuta, msimu huu Yanga ina jambo lake..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kamwe apongeza TFF kupima dawa za kusisimua miili
Kamwe apongeza TFF kupima dawa za kusisimua miili
1m ago
READ MORE β†’
Yanga imepania kuiwekea rekodi CFFA
Yanga imepania kuiwekea rekodi CFFA
4h ago
READ MORE β†’
Ngoma wakati utafika, atapewa heshima yake
Ngoma wakati utafika, atapewa heshima yake
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mwenda aanza mazoezi Yanga
Mwenda aanza mazoezi Yanga
20h ago
READ MORE β†’
Viingilio; Yanga vs CFFA, CAFCL R2
Viingilio; Yanga vs CFFA, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Jumatano tuweke rekodi pamoja - Kamwe
Jumatano tuweke rekodi pamoja - Kamwe
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaweka rekodi ya mabao raundi ya pili CAFCL
Yanga yaweka rekodi ya mabao raundi ya pili CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
TFF kuwabaini wanaotumia dawa za kusisimua misuli Ligi Kuu
TFF kuwabaini wanaotumia dawa za kusisimua misuli Ligi Kuu
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’