Dube ana jambo lake na Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Oct 2024
Dube ana jambo lake na Simba

Mshambuliaji Prince Dube ndiye mchezaji hatari zaidi ambaye pengine Simba hawatamani kumuona katika kikosi cha Yanga kitakachoanza hapo kesho katika mchezo wa ligi kuu

Dube amekuwa na kawaida ya kupeleka kilio Msimbazi tangu alipokuwa akiitumikia Azam Fc

Katika mechi tano zilizopita ambazo Dube alikutana na Simba, amepachika mabao manne na kutoa pasi moja ya goli

Pasi ya goli aliitoa August 08 katika mchezo wa Ngao ya Jamii ambao Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0 mfungaji akiwa Maxi Nzengeli

Katika mchezo huo Dube 'almanusra' afunge bao kama sio mpira aliopiga mapema katika kipindi cha kwanza kugonga mwamba

Dube amesema amekuwa na bahati ya kufunga katika mechi dhidi ya Simba, anaamini ataendelea kufunga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’