Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mlinzi wa kushoto wa Yanga Nickson Kibabage
Kibabage amekuwa na wakati mzuri na kikosi cha Yanga tangu alipotua kwa Wananchi akitokea klabu ya Fountain Gate msimu uliopita
Umahiri wake wa kushambulia kwa kasi akitokea safu ya ulinzi na winga ya kushoto, unamfanya kuwa moja ya wachezaji wanaotumika kimkakati zaidi na kocha Miguel Gamondi
Hata hivyo msimu huu anakabiliwa na upinzani kutoka kwa Chadrack Boka ambaye ameanza vyema majukumu yake na kujihakikishia nafasi ya kuanza katika kikosi cha Gamondi katika mechi nyingi
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY KIBABAGE...!
ADVERTISE HERE