Mkude haihofii Kariakoo dabi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2024
Mkude haihofii Kariakoo dabi

Kiungo wa Yanga Jonas Mkude amesema mechi ya dabi kwake ni kama mechi nyingine kitu pekee kinachotofautisha mechi hiyo ni upinzani wa jadi uliopo kati ya klabu za Yanga na Simba

Katika vikosi vya sasa vya Yanga na Simba, pengine Mkude ndio mchezaji aliyecheza mechi nyingi zaidi za dabi kwani kabla ya kutua Yanga aliitumikia Simba kwa zaidi ya miaka 12

Mkude amesema wakati wowote yuko tayari kucheza mchezo huo na kwake hauna tofauti na mchezo mwingine

"Mimi binafsi naona kawaida kucheza mechi ya dabi, sijajua mtazamo wa wale wanaosema mechi ya dabi ina presha kubwa"

"Kwa mashabiki hii ni mechi kubwa kwa sababu inazihusisha timu kubwa lakini kwa mchezaji ukubwa na uzito wa mchezo huu utategemea na vile wewe mwenyewe umejiandaa kiakili na utayari wako," alisema Mkude

Mkude ameshiriki mechi za dabi 33 na pengine Oktoba 19 atafikisha dabi ya 34

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’