Taifa Stars mikononi mwa DR Congo leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Oct 2024
Taifa Stars mikononi mwa DR Congo leo

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo iko 'kibaruani' DR Congo kuumana na wenyeji wao hao katika mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2025 kundi H

Ni dakika 90 muhimu ugenini ambazo zitahitimishwa na dakika nyingine 90 nyumbani wiki ijayo

DR Congo ndio vinara wa kundi H wakiwa na alama sita baada ya kushinda mechi zote mbili huku Tanzania ikishika nafasi ya pili na alama nne baada ya kushinda mchezo mmoja na kulazimishwa sare mchezo mmoja

Tanzania leo inahitaji ushindi au hata matokeo ya sare ugenini na kuhakikisha inatumia vyema uwanja wa nyumbani katika mchezo wa pili utakaopigwa Oktoba 15 jijini Dar es salaam

Kaimu Kocha Mkuu wa Tanzania Hemedi Morocco amesema kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo na wanakwenda kusaka ushindi

Stars ilitua Kinshasa mapema jana na jioni ikafanya mazoezi ya mwisho Stade des Martyrs ambako mchezo huo utapigwa saa 1 usiku

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’