Haikuwa bahati kwa Yanga Princess

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Oct 2024
Haikuwa bahati kwa Yanga Princess

Yanga Princess imepoteza mchezo wa fainali Ngao ya Jamii dhidi ya JKT Queens ikikubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa maafande hao

Haukuwa mchezo mwepesi kwani bao lililoamua mchezo huo na kuwanufaisha JKT Queens lilipatikana katika dakika ya 88

Licha ya kupoteza mchezo huo, Yanga Princess wameonyesha kuimarika na bila shaka wako tayari kuwania taji la ligi kuu ya Wanawake

JKT Queens na Simba Queens zimetawala soka la Wanawake katika misimu ya karibuni

Yanga Princess inayonolewa na kocha Edna Lema, imeonyesha sasa iko katika daraja moja na timu hizo

Itoshe kusema msimu huu hakuna unyonge tena katika ligi kuu ya Wanawake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
19m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’