Uongozi wa Yanga umemleta kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya DR Congo Mwinyi Zahera kuchukua mikoba ya George Lwandamina.
Kocha huyo ametua jijini Dar es salaam jana, na habari za uhakika huenda akamalizana na uongozi wa Yanga leo.
Licha ya kuinoa timu ya Taifa ya DRC, Zahela amewahi kuvinoa vilabu vya DC Motema Pembe na AFC Tubize.
Yanga inasaka kocha mwenye 'CV' ya Kimataifa atakayeiongoza kwenye michuano ya kombe la Shirikisho hatua ya Makundi inayoanza May 04 2018.

ADVERTISE HERE