Yanga Princess tayari kwa Ngao ya Jamii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Oct 2024
Yanga Princess tayari kwa Ngao ya Jamii

Msimu mpya wa ligi kuu ya Wanawake 2024/25 unazinduliwa kesho Jumatano, Oktoba 2 kwa mechi za Ngao ya Jamii kupigwa

Yanga Princess iliyosukwa upya chini ya kocha Edna Lema itatupa kete muhimu katika mchezo wa nusu fainali dhidi ya watani zao Simba Queens

Huu utakuwa mtihani wa kwanza kwa Lema na vijana wake katika msimu ambao Wananchi wanasema hawahitaji kuona unyonge tena kutoka kwa timu yao ya wanawake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’