Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa winga machachari wa Yanga Denis Nkane
Nkane yuko ndani ya kikosi cha Yanga sasa akitimiza misimu mitatu, licha ya kutopata nafasi ya kucheza mara kwa mara, Yanga imeamini katika kumkuza na kumuimarisha, wakati wake utafika
Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ameeleza kuvutiwa na maendeleo yake akiahidi kumtumia zaidi katika msimu huu hata katika majukumu mapya
Katika baadhi ya mechi Gamondi amemtumia Nkane kama 'wing-back' akiamini anaweza kutumika katika nafasi hiyo
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY NKANE...!
ADVERTISE HERE