Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC
Siku ya Jumapili, Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex kuikabili KMC katika mchezo wa raundi ya tatu










ADVERTISE HERE