Yanga yapewa hekari 50 Dodoma, kujenga Academy

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Apr 2018
Yanga yapewa hekari 50 Dodoma, kujenga Academy
Wanachama wa Yanga tawi la Dodoma Makao Makuu kupitia mlezi wao, Naibu waziri wa kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde, wametoa eneo la hekari 50 kwa klabu ya Yanga kwa ajili ya ujenzi wa academy ya kukuzia vipaji vya watoto.

Mapema leo uongozi wa klabu ya Yanga ukiwakilishwa na Katibu Mkuu wake Charles Mkwasa ulifungua tawi la Yanga mkoani Dodoma.

Baada ya kutinga hatua ya Makundi ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Yanga ilipata mwaliko kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’