Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Mbeya tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ken Gold utakaopigwa Jumatano Septmba 25 katika uwanja wa Sokoine
Mashabiki wa Yanga wamejitokeza kwa wingi kuwapokea mashujaa wao ambao ni juzi tu walitinga hatua ya makundi CAF CL kwa ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya CBE SA








ADVERTISE HERE