Wanahabari wajitokeza Yanga Media Day

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Sep 2024
Wanahabari wajitokeza Yanga Media Day

Leo ilikuwa Yanga Media Day ambapo waandishi wa Habari walipata fursa ya kufanya mahojiano ya ana kwa ana na benchi la ufundi, wachezaji na baadhi ya viongozi wa Yanga

Tukio hilo limefanyika kwa mujibu wa kanuni za Ligi Kuu ambapo kila timu inapaswa kuwa na angalau siku moja maalum ya kukutana na wanahabari na kujadili masuala mbalimbali yanayohusu klabu husika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’