Nahodha Msaidizi wa Yanga Kelvin Yondani ameumia kifundo cha mguu kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbeya City uliomaliza kwa sare ya bao 1-1.
Yondani alitolewa wakati wa mapumziko na nafasi yake kuchukuliwa na nahodha Nadir Haroub Cannavaro.
Yondani ameumia zikiwa zimebaki siku saba kabla ya mchezo dhidi ya watani wa jadi, Simba.
Yondani anaungana na majeruhi mwingine Tshishimbi ambaye hakusafiri na kikosi cha Yanga mkoani Mbeya kutokana na majeraha aliyopata katika mchezo dhidi ya Wolaitta Dicha.

ADVERTISE HERE