Injinia Hersi aliwashuhudia Gor Mahia dhidi ya Al Ahly

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Sep 2024
Injinia Hersi aliwashuhudia Gor Mahia dhidi ya Al Ahly

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said jana alikuwepo uwanja wa Nyayo, Kenya kushuhudia mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Gor Mahia dhidi ya Al Ahly wenyeji wakipoteza kwa mabao 3-0

Baada ya kuishuhudia Yanga ikipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya CBE SA juzi, Hersi akaunganisha kuelekea Kenya kuwahi mchezo huo

Nje ya nafasi yake ya Rais wa klabu zote barani Afrika (ACA), Hersi yuko kwenye 'mission' ya kuisuka Yanga bora ya kutwaa ubingwa Afrika

Kama ilivyokuwa msimu uliopita, Al Ahly wanaweza kukutana tena na Yanga katika michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu iwe kwenye makundi au hatua ya mtoano

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’