Matchday; CBE SA vs Yanga, CAF CL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Sep 2024
Matchday; CBE SA vs Yanga, CAF CL

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga leo wako ugenini huko Ethiopia kucheza karata muhimu katika mkakati wa kutinga hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika. Yanga inaumana na wenyeji wao CBE SA, mabingwa wa ligi kuu ya Ethiopia

Kikosi cha kocha Miguel Gamondi kitashuka dimba la Abebe Bikila majira ya saa 9 Alasiri wakiwa na dhamira moja, kusaka ushindi ili kujiweka katika mazingira mazuri kufuzu makundi katika mechi ya marudiano itakayopigwa dimba la Amaan visiwani Zanzibar wiki ijayo

Ni wazi haitakuwa mechi nyepesi, CBE SA hawakubahatisha kufuzu raundi ya kwanza kwani waliwatoa mabingwa Uganda SC Villa tena kwa kushinda ugenini na kulazimishwa sare nyumbani

Yanga ilitua Ethiopia juzi, wachezaji wamepata siku mbili za kufanya mazoezi pamoja na kuzoea hali ya hewa ambapo kwa sasa mvua zinaendelea kunyesha huko Addis Ababa

Habari njema kwa kocha Gamondi anakwenda katika mchezo huo akiwa na kikosi chake kamili

Wachezaji ambao walikuwa na majukumu ya timu za Taifa wote wamrejea wakiwa 'fit' tayari kwa mchezo huo

Kila la kheri Wananchi, kila la kheri mabingwa wa nchi....

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
15h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’