Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi ya mwisho kabla ya safari ya Ethiopia Alfajiri ya kesho Alhamisi kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya CBE SA
Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema timu itaondoka nchini saa 10 Alfajiri ya kesho ambapo watakuwa na siku mbili za kufanya mazoezi Ethiopia kabla ya mchezo
Wachezaji 14 waliokuwa na majukumu ya timu za Taifa wataungana na timu Addis Ababa








ADVERTISE HERE