Mtihani wa pili Stars dhidi ya Guinea leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Sep 2024
Mtihani wa pili Stars dhidi ya Guinea leo

Baada ya kukosa ushindi katika mchezo wa kwanza kuwania tiketi ya kufuzu Afcon 2025, timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo iko ugenini kumenyana na Guinea katika mechi nyingine muhimu kundi H

Mchezo huo utapigwa Ivory Coast, wenyeji Guinea wakipeleka mechi hiyo nchini humo baada ya kukosa uwanja wenye sifa nchini kwao

Tanzania inahitaji kushinda mchezo huo ili kufufua matumaini ya kufuzu Afcon 2025 ingawa hata matokeo ya sare ugenini yatawapandisha nafasi ya pili

DR Congo ndio vinara wa kundi H wakikusanya alama sita baada ya ushindi wao wa pili dhidi ya Ethiopia jana

Stars ililazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Ethiopia wakati Guinea walichapwa bao 1-0 na DR Congo katika mchezo wa kwanza

Kaimu Kocha Mkuu wa Stars Hemedi Morocco amesema kikosi chake kiko tayari na leo wamepania kushinda mechi hiyo ya ugenini itakayopigwa saa 1 usiku

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’