Simon ahoji kanuni za usajili kutozingatiwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Sep 2024
Simon ahoji kanuni za usajili kutozingatiwa

Mkurugenzi wa Sheria wa klabu ya Yanga Simon Patrick amehoji tukio la mchezaji kusaini katika timu mbili na kuruhusiwa kucheza mechi za ligi kinyume na maelekezo ya kanuni

Ujumbe wa Simon alioweka katika mtandao wa kijamii, umemlenga mchezaji Yusuph Kagoma ambaye amesaini klabu za Yanga na Simba

Yanga ilipeleka pingamizi Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji ya TFF kuhoji uhalali wa mchezaji huyo kuitumikia Simba wakati akiwa alisaini mkataba halali wa kuitumikia Yanga

"Kanuni ya 41 (13) ya Kanuni za Ligi Kuu ya 2024/2025 inasema kuwa mchezaji atakayebainika kusaini mikataba na timu zaidi ya moja atafungiwa kucheza mpira ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha mwaka 1 hadi 3"

"Kwenye ligi ya Cuba, kuna mchezaji mwenye mikataba miwili, na tayari ameshacheza mechi mbili za ligi. Tathmini ya haraka inaonyesha kuwa pale kanuni zinapozigusa timu, wadau wengi hukubaliana kwamba ni njia sahihi ya kukuza soka letu"

"Lakini zinapowagusa wachezaji, wadau hubadilika kuwa kama walezi au wazazi, wakisisitiza matumizi ya busara kwa hoja kwamba maisha ya mchezaji ni mafupi," alihoji Simon

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’