Yanga Princess yashusha kipa Mnigeria

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Sep 2024
Yanga Princess yashusha kipa Mnigeria

Yanga Princess imesukwa upya na leo utambulisho wa nyota wapya umeanza. Mlinda lango wa Kimataifa wa Nigeria Rita Akarekor ametambulishwa

Rita (23) ametua Yanga Princess akitokea klabu ya Delta Queens inayoshiriki ligi kuu ya Nigeria. Pia ni kipa tegemeo wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Niigeria

Yanga Princess imepania kushindana msimu ujao, kwani licha ya usajili mkubwa uliofanyika, kocha Edna Lema ndiye aliyekabidhiwa jukumu la kuinoa timu hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’