Tuzo za mchezaji bora wa mwezi wa Yanga (NIC player of the month) zinaendelea msimu huu 2024/25 kama ilivyokuwa msimu uliopita
Wachezaji Djigui Diarra, Maxi Nzengeli na Clement Mzize wanafungua tuzo hizo kwa mwezi August 2024
Je nani anastahili kubeba tuzo hiyo?
ADVERTISE HERE