Yanga kwa kushirikiana na GSM Foundation mapema leo walitembelea kituo cha watoto wenye uhitaji cha Uyacho Turkey Orphanage Center kilichopo Manispaa ya Bukoba, Mkoani Kagera na kutoa misaada mbalimbali
Umekuwa ni utaratibu wa Yanga na GSM kutoa misaada ili kuwapa tabasamu wale wenye uhitaji









ADVERTISE HERE