Yao kuwakosa Kagera Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Aug 2024
Yao kuwakosa Kagera Sugar

Yanga imethibitisha kuwa beki wa kulia Yao Kouassi hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa Kaitaba hapo kesho

Yao na kiraka Farid Mussa sio miongoni mwa wachezaji waliosafiri na timu Kagera wakiwa ni majeruhi

Nyota hao pia walikosa mechi iliyopita ya ligi ya mabingwa dhidi ya Vital'o kutokana na changamoto zinazowakabili

Kikosi cha Yanga kiliondoka Dar es salaam mapema leo kuelekea Kagera tayari kwa mchezo huo wa kwanza ligi kuu ya NBC msimu huu

Yanga imedhamiria kuanza msimu kwa ushindi lengo likiwa kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’