Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo wa Yanga Salum Abubakar 'Sureboy'
Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anajivunia 'utajiri' wa wachezaji mafundi katika safu yake ya kiungo, Sureboy ni mmoja wa wachezaji hao
Huu ni msimu wa tatu Sureboy anaendelea kutamba katika kikosi cha Yanga. Yawezekana haonekani uwanjani mara kwa mara kutokana na ushindani uliopo lakini Sureboy amewajibika ipasavyo kila alipopewa nafasi
Katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa, tunamtakia kila la kheri
HAPPY BIRTHDAY SUREBOY...!
ADVERTISE HERE