Baada ya kujihakikishia tiketi ya kucheza raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, Yanga sasa inaelekeza nguvu zake katika ligi kuu ya NBC
Vijana wa Kocha Miguel Gamondi leo wamerejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kwanza msimu huu dhidi ya Kagera Sugar
Alhamisi, August 29 Yanga itakuwa ugenini Kagera katika dimba la Kaitaba kuanza kampeni ya kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo








ADVERTISE HERE