Yanga B yaenda Mbeya

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
26 Jul 2017
Yanga B yaenda Mbeya
Wakati kikosi cha kwanza cha Yanga kikitarajiwa kuondoka leo kwenda mkoani Morogoro kuweka kambi ya takribani siku saba, jumla ya wachezaji 20 wa Kikosi cha pili cha Yanga chini ya kocha Shadrack Nsajigwa wamesafiri asubuhi ya leo Jumatano kuelekea jijini Mbeya tayari kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbeya City kwenye uwanja wa Sokoine kesho Alhamisi.

Mchezo huo wa hisani umeandaliwa na Tume ya kudhibiti Ukimwi Tanzania iliyo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’