Wananchi wanaelekea uwanja wa Azam Complex kushuhudia uzinduzi wa michuano ya ligi ya mabingwa 2024/25, Yanga ikiandaa shamrashamra hizo
Kabla ya mchezo dhidi ya Vital'o kutoka Burundi ambao utapigwa saa 1 usiku, Wananchi wataburudishwa na wasanii mbalimbali wakiongozwa na Meja Kunta mfalme wa singeli ambaye kwa mapenzi yake, ametangaza kuhama kutoka kule kwa jirani
Shamrashamra hizo ni kabla ya tukio rasmi la uzinduzi ambalo mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa umoja wa klabu barani Afrika (ACA) Injinia Hersi Said ambaye pia ni Rais wa Yanga

ADVERTISE HERE