Mkutano na wanahabari ambao utahusisha makocha wa timu za Yanga na Vital'o utafanyika leo Makao Makuu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam
Ni kuelekea mchezo wa mkondo wa pili hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika ambao utafanyika kesho Jumamosi, August 24 katika uwanja wa Azam Complex
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) linatambua tukio kubwa ambalo Yanga wanakwenda kufanya Azam Complex kesho ukiwa ni uzinduzi wa ligi ya mabingwa msimu huu
ADVERTISE HERE