Hersi afichua mkakati wa Yanga tishio Afrika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Aug 2024
Hersi afichua mkakati wa Yanga tishio Afrika

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema bado malengo ya kuijenga Yanga tishio barani Afrika hayajakamilika, maboresho zaidi yanatarajiwa kufanyika katika dirisha dogo la usajili

Hersi amesema katika dirisha hili kuna wachezaji wawili ambao waliwaweka katika mpango wa kuwasajili lakini hawakufanikiwa

Amesema Yanga itarudi tena kwenye dirisha dogo kuwanasa nyota hao akiamini usajili wao utakwenda kukamilisha mikakati ya kuwa na kikosi tishio Afrika

"Bado kikosi chetu hakijakamilika kuwa tishio Afrika, tunafikiria kuongeza wachezaji wawili ambao walikuwa target yetu kwenye dirisha hili kubwa lakini biashara zao hazikukamilika"

"Dirisha dogo tutarudi kuangalia kama tutaweza kukamilisha sajili zao, wakishafika ndio mtapata majibu maana ya timu kukamilika," alisema Injinia Hersi katika mahojiano na Wasafi FM

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’