Jumamosi, August 17 2024 Vital'o Fc kutoka Burundi watakuwa wenyeji wa Yanga katika mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika
Mchezo huo utapigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi kuanzia saa 10 jioni
Hivi hapa viingilio vya mchezo huo;
ADVERTISE HERE