FT : Yanga 4-1 Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Aug 2024
FT : Yanga 4-1 Azam Fc

Ni 4G iliyowahusu Azam Fc leo uwanja wa Benjamin Mkapa Wananchi wakirejesha Ngao ya Jamii Jangwani baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Azam Fc

Ni kipigo cha aibu kwa wanarambaramba kutoka kwa Wananchi, kwa mara nyingine Yanga inadhihirisha ubora wake kwa soka la Tanzania

Feisal Salum aliitanguliza Azam Fc, hata hivyo ilikuwa furaha ya muda mfupi kwani kilichofuata yalikuwa ni mafuriko

Prince Dube akarejesha mzani sawa kabla ya kros ya Chadrack Boka kusababisha majanga kwa Azam Fc wakijifunga

Wakiwa bado wanajiuliza nini kimetokea, Stephane Aziz Ki akaweka chuma ya tatu na kuipa Yanga uongozi wa mabao 3-1 ndani ya dakika 30 tu

Kipindi cha pili Yanga ilicheza kwa tahadhari kubwa na kushambulia kwa kushitukiza 

Clatous Chama aliyeingia kuchukua nafasi ya Stephane Aziz Ki akatengeneza bao la nne lililofungwa na Clement Mzize aliyeingia kuchukua nafasi ya Dube

Ni taji la pili kwa Yanga kabatini mwa Yanga mapema tu kabla hata ya msimu kuanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’