Matchday : Yanga vs Simba, Ngao ya Jamii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Aug 2024
Matchday : Yanga vs Simba, Ngao ya Jamii

Wanasema usiku wa deni haukawii! hatimaye siku nyingine ya mtanange wa dabi ya Kariakoo kati ya Yanga dhidi ya Simba unapigwa leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Ni mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii ukiwa ni msimu wa pili wa mfumo mpya wa Ngao ya Jamii ambao unashirikisha timu nne

Baada ya msimu uliopita kupoteza ngao hiyo kwa Simba kupitia mikwaju ya penati, Kocha Miguel Gamondi hana kingine anachohitaji siku ya leo zaidi ya kushuhudia timu yake ikiibuka na ushindi

Licha ya ubora wa kikosi cha Yanga, Gamondi amesema mechi ya dabi lazima ipewe heshima kwa sababu haina mwenyewe

Hata hivyo, Gamondi amesema amekiandaa vyema kikosi chake vyema na kazi iliyobaki ni wachezaji kwenda kutafsiri kile walichofanya katika uwanja wa mazoezi

Kuelekea mchezo huo utakaopigwa saa 1 usiku, Yanga inakwenda ikiwa na kikosi chake kamili

Katika mechi mbili zilizopita kuzikutanisha timu hizo, Yanga imefunga mabao 7 huku watani zao wakifunga mabao 2

Msimu huu Simba wana mabadiliko mengi katika kikosi chao hivyo mchezo wa leo unaweza kuwa na taswira tofauti

Kabla ya watani kuchuana saa 1, mchezo wa mapema ni katika michuano hiyo ni kati ya Coastal Union dhidi ya Azam Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’