Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Khalid Aucho raia wa Uganda
Kutokana na kazi nzuri anayoifanya katika kikosi cha Yanga, mashabiki wamemtunuku tuzo ya kuwa mchezaji wao bora wa msimu uliopita *2023/24)
Aucho ameitumikia Yanga kwa misimu mitatu na ataendelea kuwatumikia Wananchi mpaka mwaka 2026
Baadae leo, Yanga itakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuumana na watani zao Simba katika mchezo wa nusu fainali Ngao ya Jamii
Dk Aucho atakuwepo dimbani kuwatibu watani katika mchezo huo
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY AUCHO....!
ADVERTISE HERE