Yanga bila mpira ni hatari - Chivaviro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jul 2024
Yanga bila mpira ni hatari - Chivaviro

Mshambuliaji wa Kaizer Chiefs Ranga Chivaviro amekiri kuwa ubora wa Yanga ikiwa haina mpira ndio silaha iliyowapa ushindi wa mabao 4-0 katika mchezo wa Toyota Cup uliopigwa Afrika Kusini Jumapili iliyopita

Katika mchezo huo Prince Dube, Aziz Ki na Clement Mzize walifunga mabao ya Yanga huku mabao mawili yakifungwa Aziz Ki

Ki alifunga mabao hayo yakiwa ni matokeo ya 'pressing' iliyofanywa na wachezaji wa Yanga na kupelekea walinzi wa Chiefs kufanya makosa

Chivaviro alianza katika mchezo huo akiongoza safu ya ushambuliaji ya Chiefs lakini mpaka Kocha Nasreddine Nabi anamtoa, hakuwa amepiga shuti lolote langoni kwa Yanga

"Ilikuwa ngumu kwetu, ni kama hawakutupa nafasi ya kujipanga wakati tukiwa tuna mpira, walikuwa wanalazimisha haraka tuupoteze uwe chini yao nadhani ndio silaha waliyoitumia kutengeneza ushindi wao"

"Unajua huu ulikuwa mchezo wetu wa kwanza wa kirafiki wenzetu walionekana kuwa wepesi kuliko sisi ilitufanya kuonekana hatukuwa tayari kukutana nao, nadhani tutabadilika kwa kuwa tupo chini ya makocha wapya ambao wanaaanza kutupa falsafa mpya," alisema Chivaviro

Yanga ilibeba taji la Toyota baada ya ushindi huo huku Wananchi pia wakikomba zaidi ya Milioni 260

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’