Sasa Nadir unaweza kustaafu, karibu Ninja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Apr 2018
Sasa Nadir unaweza kustaafu, karibu Ninja
Beki Abdallah Shaibu 'Ninja' amedhihirisha sasa ameiva kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga hivyo kumpa nafasi ya kustaafu nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro'.

Michezo miwili aliyocheza dhidi ya Wolaitta Dicha na mmoja dhidi ya Singida United imedhihirisha siku si nyingi Shaibu atakuwa beki wa kutegemewa katika kikosi cha Yanga.

Ukimuangalia kwa mbali unaweza ukadhani ni Nadir aliyerudi enzi za ujana wake! Wanafanana sana.

Bila shaka benchi la Ufundi litaendelea kumpa nafasi ili aweze kuimarika zaidi.

Huyu ndiye mrithi halisi wa Nadir ambaye huenda akastaafu kuitumikia Yanga mwishoni mwa msimu.

Nadir ndiye mchezaji aliyeitumikia Yanga kwa miaka mingi zaidi. Amecheza miaka 12!

Amevunja rekodi ya miaka 11 iliyokuwa ikishikiliwa na Fred Mbuna.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’