Licha ya kutua JNIA 'usiku mnene', Wananchi walijitokeza kwa wingi kuwapokea mashujaa wao, Yanga ikirejea kutoka Afrika Kusini ambako ilifanikiwa kutwaa Toyota Cup
Kituo kinachofuata sasa na Wiki ya Mwananchi ambapo kilele chake ni Jumapili August 04 katika uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Yanga itacheza na mabingwa wa Kagame Cup, Red Arrows ya Zambia









ADVERTISE HERE