Siku mbili kuelekea mchezo wa Toyota Cup kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Yanga, wenyeji wa mchezo huo Kaizer Chiefs wametangaza kuuza tiketi zote ambapo takribani watu 46,000 watashuhudia mchezo katika uwanja wa Toyota Bloemfontein
Ni rekodi kwa Chiefs kuuza tiketi zote ndani ya muda mfupi tangu walipotangaza mauzo katika tovuti yao
Hii pia inaonyesha ni kwa kiasi gani Yanga imejijengea heshima huko Afrika Kusini
Ni rasmi sasa Jumapili ni 'full house' ndani ya dimba la Toyota Bloemfontein

ADVERTISE HERE