Yanga yaweka rekodi Afrika Kusini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jul 2024
Yanga yaweka rekodi Afrika Kusini

Klabu ya Yanga jana ilizindua Tawi rasmi la Wanachama katika Mji wa Durban na kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kuwa na tawi rasmi hapo Afrika Kusini

Kwa kushirikiana na NBC Bank, Wanachama wapya walisajiliwa na kupatiwa kadi zao za uanachama papo hapo

Hivi ndivyo timu kubwa hufanya, Afrika Kusini sasa ni miongoni mwa ngome za Wananchi barani Afrika

Jumapili Wananchi wanatarajiwa kujitokeza kwa wingi katika mchezo wa Toyota Cup dhidi ya Kaizer Chiefs ambao utapigwa katika uwanja wa Toyota, Bloemfontein

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’