Pacome kutua Afrika Kusini leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2024
Pacome kutua Afrika Kusini leo

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua leo anatarajiwa kuwasili Afrika Kusini kuungana na wachezaji wenzake wanaoendelea na awamu ya pili ya pre-season nchini humo

Pacome aliondoka Tanzania Julai 18 kurejea kwao Ivory Coast kwa ruhusa ya Yanga kwenda kushughulikia masuala ya kifamilia

Nyota huyo tayari ameondoka Ivory Coast na atawasili Afrika Kusini jioni ya leo

Ni wazi taukosa mchezo dhidi ya TS Galaxy hapo kesho lakini bila shaka atakuwa tayari kuikabili Kaizer Chiefs Jumapili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’