Yanga yamtambulisha Mkurugenzi wa Mashindano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2024
Yanga yamtambulisha Mkurugenzi wa Mashindano

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga leo wamemtambulisha Ibrahim Mohammed kuwa Mkurugenzi wa Mashindano

Mohammed ametua Yanga akitokea klabu ya Kagera Sugar ambako alikuwa Mtendaji Mkuu

Tayari Mohammed alishaanza majukumu yake na Yanga kwani yuko Afrika Kusini na timu katika awamu ya pili ya pre-season

Yanga imeendelea kujipambanua kwa kuwapa nafasi vijana, ambapo nao wametendea haki nafasi hizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’