Boka aumia nyonga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jul 2024
Boka aumia nyonga

Mlinzi wa kushoto wa Yanga Chadrak Boka jana alishindwa kumaliza mchezo dhidi ya Ausburg baada ya kupata majeraha ya nyonga

Boka aliingia katika kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Nickson Kibabage hata hivyo Kocha Miguel Gamondi alilazimika kufanya mabadiliko ya lazima kwa kumuingiza Shekhan Khamis baada ya Boka kushindwa kuendelea na mchezo

Meneja wa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema Boka alipata majeraha ya misuli ya nyonga, madaktari wanatarajiwa kumfanyia vipimo zaidi kubaini ukubwa wa jeraha hilo

Boka alisajiliwa na Yanga katika dirisha hili la usajili akitokea klabu ya Fc Lupopo ya DR Congo

Alichukua nafasi ya Joyce Lomalisa aliyetimkia Angola katika klabu yake ya zamani, Sagrada Esperanca

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’