Klabu ya Yanga mapema tu imetangaza viingilio vya Tamasha la Wiki ya Mwananchi ambalo kilele chake ni uwanja wa Benjamin Mkapa August 04
Kiingilio cha chini kabisa MZUNGUUKO ni Tsh 5,000/- na tayari tiketi zimeanza kuuzwa Makao Makuu ya Klabu Jangwani, kwenye maduka ya TTCL nchi nzima na kwenye mitandao ya simu

ADVERTISE HERE